This is the second feed from the one I narrated yesterday. I was just about to tell you a little of how I spent my days --radio-wise--- as I waited to join University. For two years. Two whole years. So, Station ilikuwa KBC English Service, ndio nionekane msee nimeishia chuo. Hizo days, ma-fm stations, kina Kiss, Classic, Umoja na Metro hazikuwa zinashika huko ocha. Wazae na wasee wa kawa walikuwa juu ya KBC ‘idhaa ya Taifa’, ile ya Kiswahili, kusikia kina Leonard Mambo, Anunda Sakwa, Gladys Herude na Elizabeth Obege. Mimi msee nilikuwa nadai vile ati nimefika chuo kubwa; man uliza msee yoyote Kakamega High School, ama Kach High, na utaambiwa sio chuo ya ma-softie. Kila mtu ni hardcore. So redio ni English service, ndio nisikie John Karani na Charity Karimi wakihost Beat-Time Show, saa zingine Jeff Mwangemi , lakini sanasana Jeff alikuwa msee wa ku-bring ile show ya Reggae noma sana kila Thursday eight asubuhi hadi nine, na repeat kila Monday afte, saa nane. Hapo katikati, kuli
Comments
Post a Comment