PART FOUR: Mr Sluggard!

This is the last part! What a weekend it has been! Speaking Sheng' through and through'.
And I just learnt something from yesterday's match between Real Madrid and Barcelona. That despite the slaloming runs from Christiano Ronaldo, it was still mesmerising Messi messing up Real's Raul Albiol and finally Iker Casillas.
And now, Barca won....yipeee...they are such a great side. Xavi Hernandes, oh my, Andre Iniesta, these guys were fun to watch.
Anyway, let's come back to Kenya and talk about...ouch, the poverty, the laziness and stuff like that. So after jana, here is the story. Niliwashow tupatane le-le-le-leo. Na imefika!

That evening nikirudi home, hapo stage ya Roysa, ukishapita hiyo shell petrol station on your way to Zimmer, nilicheki ka-joint ka MPesa. Na nilikuwa nataka kutumia bro chapa kidogo ya food, so mimi nikaenda kudeposit ndio nimtumie.

Jamaa flani alikuwa na nywele imeform dreads juu ya kuwa dirty. Alikuwa na jacket ya red na alikuwa amebeba karungu flani kwa mgongo.

Enyewe mimi simjui. From his shabbiness, ile tu looks, alikuwa stereotype perfect ya watu wamechizi, au majambazi. Kama ushaona ile video ya Jimw@t ya Under 18, basi alikuwa anakaa kama hao wasee walikuwa kwa jela time Jimw@t alijikuta ndani for messing with an underage girl.

“Niaje buda,” jamaa aliwika.

Nikajaribu kumlenga. Akarudia: “Buda, buda, buda,” nikaturn nikamface hapo kwa mlango ya MPesa. “Si unidunge ishirini.”

Unajua ile niko na tenga moja kwa mkono napea huyo manzi wa hapo (na niaje Mpesa mob ziko tu na madame sikuhizi). So nikacheki, haitakuwa poa mimi kulenga huyu msee.

Vile alikuwa anakaa, ni kama alikuwa hajamanga for a long time. Kama ningemkazia, na alikuwa amecheki walenje ikiwa na chapa zingine, nilijua tu bas, mimi ndani ya mix yake.

So, nikacheki mfuko, uzuri ile change ya mat asubuhi ilikuwa bado kwa mbosho, nikaitoa, nikampea. Manze, a hungry man is an angry man, so mie wako singerisk anything.

Boy alishukuru. Interestingly, huyu manzi wa Mpesa hakuinua hata kichwa, even once, kucheki msee alikuwa ananihanda kwa shop yake. Niliboeka sana.

Yaani, kuna msee ameenda mjengo kutafuta dough, na huyu boy ameniita tu bang’ na kunishow ati nimpe mbao. Anaearn bila kusweat na hata msee wa shop haongei. Nilisikia robbed. No wonder banks zimeamua nowadays kutint windows za ATM.

Kutoka nje, nikacheki jamaa mosmos kwa hoteli flani huwanga hapo nje ya shell, anaishia kumunch.

Unajua akanikumbusha beggars wa tao wenye wanarauka kuitisha wasee chapa kila siku. Ukipitia kwa hoteli ma-eleven, unacheki msee anakula breakfast: mayai, loaf, chai, samosa na sausage. Hiyo food yote ni kitu soo moja na blue, na kesho bado atakuwa kwa street akibeg for food. Na bado wasee watampea chapa.

*****

So after tumecheki life yangu ya before; life ya kina Dan, Oliech na wasanii wengine wenye tulienda nao shule, kuna lessons nililearn kwa life.

Haijalishi umepitia nini. Dan alikuwa poa Ruji, alikuwa poa books, na akacombine zote na sahi ndio huyo France. Nasikia amerudi, lakini sijaconfirm.

Si rahisi kwa msee kama mimi mwenye nimegrow na yeye, nikijua ocha kwao ni Emanyulia huko Butere kubelieve chenye naona. Lakini nimelearn, ukiwa na bidii major kwa kila kitu una-do, basi hakuna cha kukustop.

Jua Cali, huyo legend wa genge, pia alianza akiwa down sana. Lakini ungeona talent. Imagine msee alianza na song chorus inaenda “Jua cali, nipe asali”, lakini sahi anatestify vile bidii ni muhimu.

Jimw@at pia yuko juu, na siku moja atahit big. Hizo rhyme zake kama hiyo song yake ya ‘sitoi kitu kidogo’ ina message mwenda excess.

Hebu sample hizi:

“..Kila wiki anadai corruption ni blunder,

Hata makarao lakini bado wananihanda…”

Halafu kidogo anaingiza conversation ya karao na boy ametoka job:

“Wee kijana hebu toa kipande,

Manze joo hauskii niliisahau afande…”

Oliech pia alikuwa akicheza ball na dedication. Anatrain hard kwa hiyo pitch ya Kakamega High tangu akuwe form one. Akaishia Kamukunji ya Nairobi, kidogo akaingia Harambee stars na in the end chapaa za waarabu zilicome na kumchukua kumpeleka majuu.

Nani angejua ile life small ya boy kama Ken Oliech, bro wa Dennis msoo) ingechange vi-major. God enyewe huwa halali, akikupea talent na aone unaiuse vizuri, ujue haitakuwa in vain. Hiyo ndio life jamaa.

Shida tu ni ati wazae hawaja-realise ati time imewahi ya kuangalia shida za mayouthman.

Ukicheki wasee wana-champion cause za mayouth ni wasee wamezaliwa ubabini, wanafikiria njaro ya “it’s our turn to eat.”

Yaani msee anataka kuingia juu ndio yeye pia amange kidogo kama mabuda. Si msee ameangalia shida watu wanapitia. Ni rende ya wasee wanaletwa together na nia ya kutumia jina ya vijana kutengeneza chapa. Hiyo sio poa.

Hawa ni wale wasee wanahost concert ati kuchanua vijana, criminals wanaingilia wanafanya ku-rape madame wa shule in broad daylight na wanaendelea ku-insist at “Vijana ee, vijanaa aaa. G-pange”.

Message sikatai ilikuwepo. Idea ilikuwa poa, lakini coz ati ni youth wanameet, ati mnafunikia zile incidents mbaya. Zi, hiyo sio poa.

Kama ni kuishi, lazima wadhii wafunue vidonda pus iishie. Lazima mtaro zifunguliwe maji chafu itoke. Difference kati ya hawa na mabuda tunashinda ku-blame ati wanatuharibia life ni nini, kama si age pekee yake. Pang’ang’a na njaa, wote wanashare. Hiyo sio poa.

Wazae si ati ni wabaya. Wazae wako juu, shida tu ni ati, vijana wale hawana respect kwa wazae wanafikiria ati hawaneed hiyo wisdom yenye ni experience pekee inapeana. Confidence, as in kujiamini ni important, lakini guidance pia ni major.

So tukitia bidii kwa life, life hiyo huchange. For the better.

Comments

Popular posts from this blog

The Cockroach Dance

BOMAS LIVE---KENYA DECIDES--THE INSIDE STORY

Remembering Dr Margaret Ogola (June 12,1958 - September 21, 2011)